Haya maneno yanaboa sana kwenye hizi Guest na lodge mbalimbali


Mhm hii mbona sio kweli mzee....yaani umesha dinda mako stamina utakuwa na mjda ata wakusoma...hapo ni mwendo wakugaragazana tuu. Tena mie napenda zile lodge zenya vitanda vya tofali...hapo rough match inakwenda bila matatizo
 
[emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]
 
Kuna Guest nyingine ilikua imeandikwa "Ndugu Mteja, furaha ya muda mfupi itakuletea majuto maisha yako yote, Roho wa Mungu akuongoze katika maamuzi yako haya"!!! Hahahaha hahahaha unaweza kuahirisha!!
unajua kuna wa2 wanajikosesha wateja wenyewe....sasa ulifkiri nitarud tena hapo?[emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…