Kwani hakuna yeyote aliyejibu, nitajaribu:
1.Hotel -> Hoteli
2.Motel -> Hoteli kwa wenye magari, yenye milango yote nje ya jengo kurahisisha kuingia na kutoka
3.Cafe -> Mgahawa wenye kahawa, chai, na chakula cha asubuhi
4.Restaurant -> Mgahawa wenye chakula cha jioni, na labda chakula cha mchana na asubuhi pia
5.Bar -> Mgahawa wenye sharabu, pombe, bia, mvinyo...
6.Grocery -> Bidhaa ya chakula au vitu vya nyumbani
Grocery Store -> Duka la chakula na vitu vya nyumbani