Haya mapenzi balaa! huyu Diva wa Clouds FM kazidi jamani

Haya mapenzi balaa! huyu Diva wa Clouds FM kazidi jamani

Huyu ni kicheche tu

Mkuu wewe hupendi kuitwa "my
Angel, My Husband, My
Forever Favorite Man. My
sugar My sweetie…My
heart .. my better and half,
My life….My Boifriend..".....??
 
nami ngoja ni arrange interview ili nim kojol*e.
 
Sasa Mbona haka ka Diva nilikuwa nakavizia. sitaki kuamini tuna share na GK
 
Kalikuchukuliaa ninii hahhhaha!!
hahahahahahahha, walaaa, ila anashoboka sana kana kwamba yeye ndo wa kwanza kupenda or kupendwa. Hana privacy hata chembe. Anaishi maisha ya kuigiza muda wote
 
Pole Diva,
tunao kuita Malaya hapa Ndio sisi Wanaume tunao badilisha wasichana kila siku,
Na Wasichana wanao tubadili Wanaume kila siku.
We jifanyie yako tu Mdada.
Malaya ni yoyote alie vunjwa bikra kabla ya Ndoa yake,hivyo ni wenye bikra zao tu wana haki ya kukuona we Ni malaya
 
Mkuu wewe hupendi kuitwa "my
Angel, My Husband, My
Forever Favorite Man. My
sugar My sweetie…My
heart .. my better and half,
My life….My Boifriend..".....??

Mi sipendi kuitwa hayo majina bora niitwe buzi
 
Pole Diva,
tunao kuita Malaya hapa Ndio sisi Wanaume tunao badilisha wasichana kila siku,
Na Wasichana wanao tubadili Wanaume kila siku.
We jifanyie yako tu Mdada.
Malaya ni yoyote alie vunjwa bikra kabla ya Ndoa yake,hivyo ni wenye bikra zao tu wana haki ya kukuona we Ni malaya

well said!
 
Kwahyo huyu DIVA ukienda tu mwanaume kwenye kipindi chake anakutongoza,atakuwa na jini tongozatongoza huyu bi mdada
 
Back
Top Bottom