Gwankaja Gwakilingo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 1,996
- 616
Diva akipata mwingine atamsifia tu. Yaani? Mbona kila interview atakuwa na boy mpya. Au? Is she right for GK? Mungu awatangulie.
Huyu ni kicheche tu
Mungu yuko mbele ya waja wake wote!Mungu hawezi kuwa nbele ya wazinifu
Ujumbe huu umeletwa kwenu kwa hisani ya watu wa marekani
Hahhhahhha siku akijaa nomaaa sanaa
hahahahahahahha, walaaa, ila anashoboka sana kana kwamba yeye ndo wa kwanza kupenda or kupendwa. Hana privacy hata chembeKalikuchukuliaa ninii hahhhaha!!
hahahahahahahha, walaaa, ila anashoboka sana kana kwamba yeye ndo wa kwanza kupenda or kupendwa. Hana privacy hata chembe. Anaishi maisha ya kuigiza muda woteKalikuchukuliaa ninii hahhhaha!!
Diva yumo humu kweli mkuu?
This is a sign that you too might need an interview.:tape:
Mungu hawezi kuwa nbele ya wazinifu
Mkuu wewe hupendi kuitwa "my
Angel, My Husband, My
Forever Favorite Man. My
sugar My sweetie…My
heart .. my better and half,
My life….My Boifriend..".....??
Hahahahha,mdau jamaa hajaoa
Pole Diva,
tunao kuita Malaya hapa Ndio sisi Wanaume tunao badilisha wasichana kila siku,
Na Wasichana wanao tubadili Wanaume kila siku.
We jifanyie yako tu Mdada.
Malaya ni yoyote alie vunjwa bikra kabla ya Ndoa yake,hivyo ni wenye bikra zao tu wana haki ya kukuona we Ni malaya
Mi sipendi kuitwa hayo majina bora niitwe buzi