Haya mapenzi balaa! huyu Diva wa Clouds FM kazidi jamani

Pepoooo oooo pepooooo, pepo wa ngono.............Hivi c huyo huyo diva, alishawahi kusema kuwa hajaona mwanaume wa kudate naye hapa Tanzania? AMA kweli, usitukane mamba kabla ya kuvuka mto
 
vp wale nyani wameondoka haswa lile kubwa

Lols. Leo siku ya tatu hawajaja.

Please wasikusikie unawataja manake nimepiga bonge la soap huko nje watakuja kujaza pee yao.
 
Mkuu wewe hupendi kuitwa "my
Angel, My Husband, My
Forever Favorite Man. My
sugar My sweetie…My
heart .. my better and half,
My life….My Boifriend..".....??

Hakuna lolote, wizi mtupu!!
 
Aiseeeeee!!! Itabidi nami nianze sasa maana mara ya mwisho kumpelekea mke wangu vanilla ice cream,
 
ngoja nimpitie demu wangu wa uswazi vinibwi tukale ugali na mlenda tufanye yetu,haya mambo ya mapenzi ya kwenye tv wakti tunapanda dalala hayafai..............mambo ya ice cream cjui hey baby..watu mnakula chips mnaenda kufanya kale kamchezo...
 
Hahaha nimeipenda hii
 
Anavyojua kuwapamba sasa!
Anawaita majina yote yanayowalevya na kusahau kwenye list wananing'inia kwa namba ngapi!
Anawapanga kama wanavyompanga,asikimbilie kuzaa tu,kuitwa mama raha ila kila cheo kina majukumu yake.
 
yule naye sijui ana matatizo gani yuko kama ulimbukeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…