Haya mapenzi basi, nimeyavulia shati

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Tanesco mtatuua nyie watu huyu kaka analalamika umeme ,kwamba demu wake akija na joto la Dar na mbu watapakana jasho haswaa kwa hiyo anawaomba wawashe[emoji23][emoji23][emoji23] mimi kwetu li transfoma limeharibika umeme hakuna toka jana tanesco mnanifikiriaje meme,mnafanya mpaka G wangu anaulizia bei ya Transfoma jamani msinifanyie hivyo akinikosa kwa simu ni shidaa jana siku nzima tunaongelea transfoma kama kuna uwezekano aninunulie ya kwangu tu likiharibika la Tanesco nawasha ya kwangu (mapenzi ni uchizi nyie tuacheni tu ,mpaka dakika hii sioni dalili ya umeme .
Basi poa tu kila kitu kitaenda poa naamini ,Tanesco msije kutugombanisha nyie mutengenezege haraka

"Hivi kweli unaweza jinunulia transfoma yako mwenyewe eti ? [emoji6][emoji6][emoji6]"
 
Haya ila mkianza shughuli yenu muache milango na madirisha wazi hewa ipite joto lisiwepo.😀😀
Mimi kwetu hakuna joto na mvua inanyesha ila tu mawasiliano ndio maana babe anataka aninunulie transfoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…