Haya mapenzi basi, nimeyavulia shati

Haya mapenzi basi, nimeyavulia shati

Mmmh mi nafata jibu la kwanza lake. Hili jibu lako hata sitaliamini maana yeye anasababu zake kusema sio yeye.
Labda uwe ushakutana nae ndio utoe vithibitisho hapa tujue

Narudia mkuu yeye ndie 100% ukitaka vithibitisho muombe ruhusa yeye mie nitakupa...
 
Mmmh mi nafata jibu la kwanza lake. Hili jibu lako hata sitaliamini maana yeye anasababu zake kusema sio yeye.
Labda uwe ushakutana nae ndio utoe vithibitisho hapa tujue
Eheheh mwambie akuambie vizuri
 
Mbna amekimbia huo anaejidai anakufaham hawek vithibitisho?

Basi tu niseme kwa heshima ya avatar ndio wewe mzuri alaf kizur kula na mwenzio!!!!
Heheehhe
Screenshot_2018-02-28-08-40-34-1.png
[emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom