Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #21
Daaa mimi mzuri hivyoNdie yeye haswa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaa mimi mzuri hivyoNdie yeye haswa
Kwa hiyo bora tununue solar eeAaah.... Mwambie akununulie sola kama kweli anakupenda maana kuna muda umeme unakatika tu hata uweke transformer mpya
Mmmh mi nafata jibu la kwanza lake. Hili jibu lako hata sitaliamini maana yeye anasababu zake kusema sio yeye.Ndie yeye haswa
Eee bongo hakuna umeme wa nyuklia kusema utawaka 24hrs kila siku bila kukatikaKwa hiyo bora tununue solar ee
Asante kwa ushauri
Daaa mimi mzuri hivyo
Eti shemeji yako anataka anunue trasfoma kabisa hataki ninyanyaswe na anikose kwa simu unaonaje brodaWaambie waache kuwakatishia utamu.
Sawa kaka asante kwa ushauriEee bongo hakuna umeme wa nyuklia kusema utawaka 24hrs kila siku bila kukatika
Mmmh mi nafata jibu la kwanza lake. Hili jibu lako hata sitaliamini maana yeye anasababu zake kusema sio yeye.
Labda uwe ushakutana nae ndio utoe vithibitisho hapa tujue
Eheheh mwambie akuambie vizuriMmmh mi nafata jibu la kwanza lake. Hili jibu lako hata sitaliamini maana yeye anasababu zake kusema sio yeye.
Labda uwe ushakutana nae ndio utoe vithibitisho hapa tujue
Narudia mkuu yeye ndie 100% ukitaka vithibitisho muombe ruhusa yeye mie nitakupa...
Eheheh mwambie akuambie vizuri
Ur welcome 24hrsSawa kaka asante kwa ushauri
Sana tu jamaniUmeme unavuruga mipango ya watu
Ahahahahahah una vitukooHaya maswali ya kuulizia avatar yamekuwa too much naona niwasaidie kujibu haya ya barazani niwaachie yale ya PM
[emoji23][emoji23][emoji23] utaua watu mi kazuri kumbeNarudia mkuu yeye ndie 100% ukitaka vithibitisho muombe ruhusa yeye mie nitakupa...
Unaweza kununua/nunuliwa transfoma ya kwako tu. Gharama ni kama million 2 ndogoNdio tunaangalia uwezekano wa transfoma naweza pata ya kwangu tu?
Mbna amekimbia huo anaejidai anakufaham hawek vithibitisho?[emoji23][emoji23][emoji23] utaua watu mi kazuri kumbe
Sawa kaka atanunua tuUnaweza kununua/nunuliwa transfoma ya kwako tu. Gharama ni kama million 2 ndogo
HeheehheMbna amekimbia huo anaejidai anakufaham hawek vithibitisho?
Basi tu niseme kwa heshima ya avatar ndio wewe mzuri alaf kizur kula na mwenzio!!!!