Haya mapenzi sio ya kawaida jamani

Haya mapenzi sio ya kawaida jamani

Kama hujawahi kulogwa na mwanamke unaeishi nae endelea kusali sana na kumshukuru pia aepushe isitokee.
Yaani unakuwa huelewii elewii aisee sitokaa nisahau yule mnyaturu dah hii kabila hii
Tugee story kidogo
 
Majumba yanaficha mengi mno. Yule mnaeweza kuhisi mbabe kabisa ukute ndani kwake anavalishwa kibwebwe na kuchezeshwa kibinda nkoi.

As long as jamaa hambughudhi mtu mwacheni na maisha yake. Hamjui anapewa nini chumbani. SIku akipata mtaalam zaidi ataondoka aende kupiga magoti kwa mwingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
For wanaume 😃😊😃😊 wenzangu tujifunze kujipa outing hata wenyewe.......
vaa vizuri pendeza alaf kale jasho lako (Bata) kidogo sio unafanya kazi ngumu unapata pesa zote unapeleka kuhonga MWANAMKE......
Wengine hawavai kabisa pesa zote Kwa wanawake na Malaya......

Hapa nazungumza na wanaume wabangaizaji wahangaikaji ambao hatuna sekta maalum.....🤓🤓🤓🤓
Hii ndo sababu nikishamtoa mtu kalipia kodi mwaka iwe frem au apatiment group la madalali naleft kwanza naenda napiga pamba sisalimii watu naenda obay kusaka wa bei juu zikiisha narudi KEKO MAGURUMBASI
 
Back
Top Bottom