Kweli mkuu! mi nadhani dada pretty badobado sasa siunajua mapenzi ya kiskuli, honey, babiee, love uuuu kibaooo missing ndio usiseme, masaa mawili msg, mara missed call, n.k
Sasa nikuulize mkuu upo kazini kwako mikazi imekubana , ripoti j3 ulituma fyongo, mabosi nao ndio hivyoo kila wakati ebu nipe lile file la naniii, mbona haujalifanyia kazi? na mambo kama hayo hivii utaikumbuka baby miss uu?
tena wakati huo umezima simu kabisa na wala hutaki kuiona ikiita au ukitumiwa ujumbe
au siku nzima una vikao ambavyo vinakufanya usiwe na simmu
Utakumbuka sijui baby i mic u
Mie usinitumie msg, ila JF uingie hakuna bana ingalau mara moja mchana kumcheki mpenzi kama amekula or what, and then wakati unatoka kumjulisha kama unapitia happy hr na mambo kama hayotena wakati huo umezima simu kabisa na wala hutaki kuiona ikiita au ukitumiwa ujumbe
au siku nzima una vikao ambavyo vinakufanya usiwe na simmu
Utakumbuka sijui baby i mic u
Mie usinitumie msg, ila JF uingie hakuna bana ingalau mara moja mchana kumcheki mpenzi kama amekula or what, and then wakati unatoka kumjulisha kama unapitia happy hr na mambo kama hayo
Sema mkuu napo kuna kaukweli kidogo katika kuitana honey, Dear n.k Imagine ulikuwa hauko hewani kutwa nzima.
Sasa ukirudi huyo honey wako mashavu yamemvimba, unapokewa na "ndio nini kuzim cm ili tusikusumbue kwenye stareh zako sio?"
Hapo ndio unajikakamua kumuhita " unajua Dear boss michael alikuja na mkurug......" anakukatiza.
"Nani dear wako nitokee huko" huku anelekea kulainika...!
Lakini ukisema unajua mama michael wewe muda mw.........! Weee tena mkiitana majina ya watoto ndio wanaona hawapendwi kabisaaaaaaaa!
Ila haihitaji moyo kukaa na kiumbe aitwae mwanaume?Acha tuu mkuu
haya mambo haya yanahitaji moyo sana na hasa kukaa na kiumbe kinaitwa mwanamke
Maana muda wote anawaza kuwa uko kwenye starehe hata kama ni muda wa kazi
ok nilidhani kwamba maneno ya kimapenzi huna kabisaaaaaa, ukiulizwa nn eti uko bize sana huwezi pata nafasiNikishakuw afree mbona mambo yanabadilika na nitakupigia kukuomba samahani i was too busy the whole day na ndo nashika simu
So hapo hakuna shida
Ila sio uone kimya na then umind kwamba kwa nini sijafanya hivyo
ok nilidhani kwamba maneno ya kimapenzi huna kabisaaaaaa, ukiulizwa nn eti uko bize sana huwezi pata nafasi
Sasa mwenzenu huyu mtoa mada hapati hata hiyo duuuu mie ningeandamana.......ndo mana kuna dada kaolewa anaye mtu anachati naye tu msg, ukimuuliza anasema anahisi vizuri kujua somewhere mtu anamkumbuka, ila hawezi kufanya nae mapenzi huyo mtuma msg anaogopa ila msg zake anazitaka, mnaona nyie waume za watu, watumieni msg wake zenu wajisikie na wao kama wapo duniani na wanapendwa na kukumbukwayapo bana
Siko so rigid kiasi hicho hata kumwambia nimpendae i miss u au i love you
Duh hapo sasa itakuwa balaa
Sasa mwenzenu huyu mtoa mada hapati hata hiyo duuuu mie ningeandamana.......ndo mana kuna dada kaolewa anaye mtu anachati naye tu msg, ukimuuliza anasema anahisi vizuri kujua somewhere mtu anamkumbuka, ila hawezi kufanya nae mapenzi huyo mtuma msg anaogopa ila msg zake anazitaka, mnaona nyie waume za watu, watumieni msg wake zenu wajisikie na wao kama wapo duniani na wanapendwa na kukumbukwa
Na vijana wa siku hizi wanavoziba mapengo ya ndoano hizo watakoma, waache wawe wavivu, mie wangu kabla sijafika ofisini msg, bby umefika, mara kidogo karibu chai swty, mchana...utasikia hun usisahau kula mpz wangu, mara jioni charting foleni mpaka nafika naomba asibadilikehili nalo neno kabisaaaa inaanza chating then mengne kisa ubusy,mwenye kuelewa ataelewa,
hi to all, ninampenzi wangu tuliachana tukarudiana lakini tangu tumerudiana mpaka leo hajawai kunitamkia nakupenda,nimekumic na maneno mengine mengi kama alivyonitamkia zamani,ila ninacho jiuliza kuna mapenzi hapo? au ? ushauri wa kimtazamo tafathali.:juggle: