Kweli mkuu! mi nadhani dada pretty badobado sasa siunajua mapenzi ya kiskuli, honey, babiee, love uuuu kibaooo missing ndio usiseme, masaa mawili msg, mara missed call, n.k
Sasa nikuulize mkuu upo kazini kwako mikazi imekubana , ripoti j3 ulituma fyongo, mabosi nao ndio hivyoo kila wakati ebu nipe lile file la naniii, mbona haujalifanyia kazi? na mambo kama hayo hivii utaikumbuka baby miss uu?
tena wakati huo umezima simu kabisa na wala hutaki kuiona ikiita au ukitumiwa ujumbe
au siku nzima una vikao ambavyo vinakufanya usiwe na simmu
Utakumbuka sijui baby i mic u