Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Wewe ndo umeiover rate?The over rated team
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo umeiover rate?The over rated team
Unakionaje kikosi, forget about formation.
View attachment 3033932
Huyo Yao ndiye semaji anasema ni mrefu kuliko goliHeee, nilijua ni mtu mmoja
Sioni tatizo la huo mfumo, ndio maana umeona pale kuna Ngoma Fabrice na Ojepha, hawa kwa pamoja wakati timu ikishambuliwa watacheza kama right wing back na left wing back, kutoa backup kwa Tshabalala na Hamza.Kaka kama ungekuwa unajua uwezo wa hiyo backline usingeweka mfumo wa mabeki wa 3 nyuma.. huo mfumo unahitaj beki wenye nguvu na speed ya wastan.. zimbwe hana speed ya kukimbizana dk 90 na striker kwenye counter attack same to malone. A huyo dogo pia
Mfumo wako unahitaj wingers ambao wanaweza kushuka kusaidia kudefend hasa kwenye counter wakiwa wanapishana na mabek.. wings za simba wote ni attacking oriented wingers hawawez panda na kushuka 90mins simba inafaa mfumo wa 5-2-3 au 4-1-2-2 au 4-2-2-2 huku fowards na wings wakiwa wanaoverlap kutengenwza spacw behind backline ya adui
Mfumo wa kuwa na beki wa 5 au wa 4 nyuma huku mbele yao kukiwa na CDM hapo ndo utaona uzuri wa hao mabek maana watakuwa wako comfortable sababu hawavuki mstari wa kati wote.. ingawa mfumo huu unahitaj attacking wingers na foward wanyumbulifu na wenye speed na pia mabek wenye uwezo wa kupiga long balls maana mashambulizi yatakuwa ni ya long balls sana na counters.. sababu mifumo
Hii ni ya kujilinda na kumchosha mpinzan