Haya mashindano aliyoshinda Diamond jana sijawahi kuyasikia!

Haya mashindano aliyoshinda Diamond jana sijawahi kuyasikia!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Announcement #1 Announcement #2 major world wide announcement #3 announcememt #4 Zote chali daaah
Na harmonize anakuja na new song kamshirikisha mnigeria
 
Nahisi ugeni wa mambo ndo unachangia kwa mwenye uelewa na hii tuzo anaweza kutwambia inahusu nini?

Maana naona Insta kumechafuka sanaaa ni Diamond na Mkandaa huu alio shindaa,ukiendaa huku utakutana na wimbo wa Raymond Natafuta Kiki,ukisema ukimbilie huku utakutana na Harmonize na Clip yake akisakamwa yaani vurugu tupuuuu! Watu wamesahau hata kama Alikiba Alitoa wimbo Wa Aje wiki moja iliyo pita,wameshasahu kama Alikiba anaendelea Ku announce major announcment,wameshasahau hata annoucment alizo zitoa!

Sasa mimi sielewii naona tuuu videos kibao za Mond akicheza hakika anajitahidi na pongezi kibao kwa Diamond kuhusu huu mkanda alio uchukua mwenye kuujua Tafadhari
c4ce0ac29a0ec93ab6d2864d94f8af14.jpg
 
Lip sinc battle sio kitu serious. Hii Ni Kama comedy TV show ambayo celebrity tofauti wanakuja kushinda kwa kuigiza kuimba na kucheza nyimbo za wasanii tofauti na hadhira inaamua mshindi kwa kunyoosha mikono Tu.
Waafrika hawana dogo au tuseme ugeni wa mambo lakini hili kipindi kimeanzia Marekani na host wake Ni LL Cool J na Chris Tegen na wala sio kitu cha kubishana kuwa flani Ni bingwa kwasababu sio serious issue
ushamba umetujaa
 
[emoji10] lip.syncbattle.
 
Teh Teh
Mimi na binti kiziwi tulivyo mashabiki wa prince tulizimia mara tatu baada ya kusikia tusiyempenda amepata mkanda tena kama wamieleka basi na sisi lazima tuanzishe wa kwetu hapa kariakoo!

Unajua bwana Mungu ni wa ajabu sana unapo endelea kumchukia mtu ndio unazidi mkumbariki!

Hahaha nimecheka mpaka nakutukana yaaan kiroho safi
 
Kuna tuzo alikiba alibeba mwaka jana au juzi nadhan muandaaji alikuwa kina timu wema kiba akapata ya msanii anayependwa hata kura hatukuambiwa zinaoigwaje
 
WCB sina hamu nao.. yani kiki zote za Kiba chaliii... hku Diamond ... kule Harmony .... pale Raymond...
dahhh.
 
Back
Top Bottom