ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
- Thread starter
-
- #41
Na harmonize anakuja na new song kamshirikisha mnigeria[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Announcement #1 Announcement #2 major world wide announcement #3 announcememt #4 Zote chali daaah
Kumbe hata Snura angeshindaSio tuzo kubwa kihivo ni live performance tu mbele ya watu kibao na wao huchagua nan kacheza vizur stegin sio big deal kivile
Nahisi ugeni wa mambo ndo unachangia kwa mwenye uelewa na hii tuzo anaweza kutwambia inahusu nini?
Maana naona Insta kumechafuka sanaaa ni Diamond na Mkandaa huu alio shindaa,ukiendaa huku utakutana na wimbo wa Raymond Natafuta Kiki,ukisema ukimbilie huku utakutana na Harmonize na Clip yake akisakamwa yaani vurugu tupuuuu! Watu wamesahau hata kama Alikiba Alitoa wimbo Wa Aje wiki moja iliyo pita,wameshasahu kama Alikiba anaendelea Ku announce major announcment,wameshasahau hata annoucment alizo zitoa!
Sasa mimi sielewii naona tuuu videos kibao za Mond akicheza hakika anajitahidi na pongezi kibao kwa Diamond kuhusu huu mkanda alio uchukua mwenye kuujua Tafadhari
ushamba umetujaaLip sinc battle sio kitu serious. Hii Ni Kama comedy TV show ambayo celebrity tofauti wanakuja kushinda kwa kuigiza kuimba na kucheza nyimbo za wasanii tofauti na hadhira inaamua mshindi kwa kunyoosha mikono Tu.
Waafrika hawana dogo au tuseme ugeni wa mambo lakini hili kipindi kimeanzia Marekani na host wake Ni LL Cool J na Chris Tegen na wala sio kitu cha kubishana kuwa flani Ni bingwa kwasababu sio serious issue
[emoji10] lip.syncbattle.Lip sinc battle sio kitu serious. Hii Ni Kama comedy TV show ambayo celebrity tofauti wanakuja kushinda kwa kuigiza kuimba na kucheza nyimbo za wasanii tofauti na hadhira inaamua mshindi kwa kunyoosha mikono Tu.
Waafrika hawana dogo au tuseme ugeni wa mambo lakini hili kipindi kimeanzia Marekani na host wake Ni LL Cool J na Chris Tegen na wala sio kitu cha kubishana kuwa flani Ni bingwa kwasababu sio serious issue
Teh Teh
Mimi na binti kiziwi tulivyo mashabiki wa prince tulizimia mara tatu baada ya kusikia tusiyempenda amepata mkanda tena kama wamieleka basi na sisi lazima tuanzishe wa kwetu hapa kariakoo!
Unajua bwana Mungu ni wa ajabu sana unapo endelea kumchukia mtu ndio unazidi mkumbariki!