Asante sana Dodoma kwetu nina Baba yangu hapo mdogo wa baba na nilishawahi ishi hapo kwa muda mishikaki ya chimwaga [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karibu dodoma
Na dodoma zipo alafu zinanoga jion mmemaliza kila kitu mnapitiana marafiki mnaenda kwa Mama taleeee kunywa supu watu kibao wazeee vijana mpaka watoto mnanunua supu ya elf 3 inajaa hotpot mnakunywaa mkirud nyumban mnauangalia tu ugali mlendaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nasikia supu hizo zipo buguruni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukija tena niambie nikupeleke Mnadani tukale nyamaaaAsante sana Dodoma kwetu nina Baba yangu hapo mdogo wa baba na nilishawahi hapo kwa muda mishikaki ya chimwaga [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmmh ,ntalia sana aiseeHuwezi kuijua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha kuchagua [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tatizo kila mtu dar ngoja tuisomeShangaaaa mboga za majani mfano chainiz zimefungwa 6 kila fungu unapewa mafungu ma3 Mia mbili hapo sawa na chainizi 18 kwa moja moja huku kwetu 500 unakula kwa siku unga upo ndani
Miguu ya kuku na vichwa vya kuku, sh. 300 unapata vingiiiii!Makwarukwaru +malapulapu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] mbona unataja vitu hatari hatari, unaweza kula hivyo Mrs Mshana?Mapupu makoromelo na kichwaa nyama 100
Nikija hapo lazima nikutafute maa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukija tena niambie nikupeleke Mnadani tukale nyamaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna baba.1 alilishwa dog sehemu 2 tofauti bila kujua na hakutapika wala tena tule tudhaifu kabisaMmmh ,ntalia sana aisee
Halafu watu wanakula hizo balaaMiguu ya kuku na vichwa vya kuku, sh. 300 unapata vingiiiii!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mie hayo bora mboga za majani nayaogopa kabisa[emoji3] [emoji3] mbona unataja vitu hatari hatari, unaweza kula hivyo Mrs Mshana?
Ndiyo maana watu wengi wa Dodoma wamevimba mashavu, kisa hizi supu.Halafu watu wanakula hizo balaa
PolenMaisha kuchagua [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tatizo kila mtu dar ngoja tuisome
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiii vinavimbiana mashavuni jamani watu mnavitukoNdiyo maana watu wengi wa Dodoma wamevimba mashavu, kisa hizi supu.
Asante namba zinasomekaPolen
Kama ile ya jirani yako palee [emoji23][emoji23]Picha tuone yalivyo
wazungu wana nia mbaya na sisi lengo lao wanaume nao watembee na hand bag wazd kupata soko kwa mazwazwa watakaokua tayar
Si bora masikioni uliza huko mifukoni yanakaaje?maana mengine ni makubwa ukifanya mchezo yanaweza kukuvua suruali.
Kuna supu mpaka za sh. 200, miksa makwarukwaru, kila mtu na bakuli lake kwenye kona yake, haina kuangaliana usoni hiyo.