Haya "masmartphone" makubwa mnawezaje kuyaweka masikioni?

Haya "masmartphone" makubwa mnawezaje kuyaweka masikioni?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karibu dodoma
Asante sana Dodoma kwetu nina Baba yangu hapo mdogo wa baba na nilishawahi ishi hapo kwa muda mishikaki ya chimwaga [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nasikia supu hizo zipo buguruni
Na dodoma zipo alafu zinanoga jion mmemaliza kila kitu mnapitiana marafiki mnaenda kwa Mama taleeee kunywa supu watu kibao wazeee vijana mpaka watoto mnanunua supu ya elf 3 inajaa hotpot mnakunywaa mkirud nyumban mnauangalia tu ugali mlendaaa
 
Asante sana Dodoma kwetu nina Baba yangu hapo mdogo wa baba na nilishawahi hapo kwa muda mishikaki ya chimwaga [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukija tena niambie nikupeleke Mnadani tukale nyamaaa
 
Shangaaaa mboga za majani mfano chainiz zimefungwa 6 kila fungu unapewa mafungu ma3 Mia mbili hapo sawa na chainizi 18 kwa moja moja huku kwetu 500 unakula kwa siku unga upo ndani
Maisha kuchagua [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tatizo kila mtu dar ngoja tuisome
 
Ndiyo maana watu wengi wa Dodoma wamevimba mashavu, kisa hizi supu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiii vinavimbiana mashavuni jamani watu mnavituko
 
Si bora masikioni uliza huko mifukoni yanakaaje?maana mengine ni makubwa ukifanya mchezo yanaweza kukuvua suruali.

Hatutunzagi mkuu, kila muda yako viganjani kwa ajili ya showoff.

Kama hamna tablet msiwe na wivu [emoji3]
 
Kuna supu mpaka za sh. 200, miksa makwarukwaru, kila mtu na bakuli lake kwenye kona yake, haina kuangaliana usoni hiyo.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hatari sana haya mambo
 
Back
Top Bottom