Haya matamasha ya kikabila ni janga la Taifa: sasa hivi Wanyakyusa wako ITV

Haya matamasha ya kikabila ni janga la Taifa: sasa hivi Wanyakyusa wako ITV

Kuna makabila ya hovyo yenye tabia za umimi ila sioni kama wanyaki sio one of them. Hawa jamaa wanajua kujichanganya na jamii tofauti bila shida.

Tatizo kubwa lipo ile miji ya utalii kule ndio kuna raia flani hujionaga wanastahili kila kitu mbele ya watanzania wenzao.
 
"faida ya makabila,imebaki kwenye kutambika"Mwl.Nyerere
Kabila maana yake TAIFA!.
Lakini for the sake of UNITY hayahitajiki Tena.
Kabila ni IDENTITY,sense of Belonging!
Kama yeye "Mchonga Meno' alidhani faida ya kabila ni kutambika tu,huo ni mtazamo wake na sio lazima awe sahihi.
 
Sijawahi kuona mnapinga sherehe za krismasi, Eid au diwali.. zote hizo za kizungu, kiarabu na kihindi.
Wanyakyusa na wasukuma kupiga Ngoma zao tu, muafrika mwenzao ushaanza kulalamika eti ukabila!
Kuna ukabila gani hapo?
Wametoa hate speech yoyote?

Tujiheshimu na tuache kudharau mila zetu.

Na tutaanzisha cultural carnivals kusherehekea tamaduni zetu za kiafrika..
Nyie wazungu pori na waarabu Koko mjinyonge tu.
Asante mkuu!
Nilikuwa nataka kutoa maoni kama haya.
 
Tabia za mnyakyusa

1.WATOAJI
huwezi kulala njaa na mnyakyusa yupo na Hera pembeni yako Hilo haliwezi kutokea

2.WATU WA HAKI
Huwezi
kuonewa mbele za mnyakyusa hia jarishi wewe ni kabila gani mnyachu atakutetea patachimbika nahaki yako utaipata

3. SlO WANAFIKI
Mnyakyusa nimtu wa ukweli ukikosea atakuambia hapo hapo umekosea na ukifanya vizuri hivyohivyo utaambiwa hapo hapo haijarishi wewe ninani una cheo gani ukweli utaambiwa

4. HOFU YA MUNGU

wanyakyusa niwatu wenye hofu ya mungu niwatu walio kulia dini niwatu ambao Hawa Amini katika yeyote Ila mungu sio miungu watu niwatu wano ijua vizuri dini hasa ukristo

5.UTAFUTAJI
Hawa jamaa ukifika sehemu huwaoni kwamfano umeenda inchi au mkoa hauwaoni eneo Hilo Basi kimbia eneo Hilo kabla nauri haijakuishia kwani asipo kuwepo mwaisa hapo Nipa gumu mnoo

Mwisho wanyachu ndio kabila linalo ongoza kwa kuchangamana na kuishi na kila jamii

Ukimkuta Zanzibar Basi utamkuta anazungumza Kama mzanzibari

Ukimkuta tanga basi utamkuta Ana zungumzia Kama watanga

Ukimkuta pwani hivyo hivyo Kama watu wa pwani na akiludi mbeya Basi utamkuta Kama mnyachu
 
Hakika!
 
Nchi hii walioanza kuongoza walihakikisha wanaondoa ukabila na kujenga umoja wa kitaifa.
Ila upepo mdogo walionao viongozi wa Sasa ndio unarudisha ukabila ndio maana unaona machifu wamepewa kipaumbele Ila watu wakizungumzia Tanganyika inaonekana dhambi.
Walitaka kutufanya tuwe waarabu na wazungu zaidi ya makabila yetu,acha tusherekee asili yetu.
 
Tabia za mnyakyusa

1.WATOAJI
huwezi kulala njaa na mnyakyusa yupo na Hera pembeni yako Hilo haliwezi kutokea

2.WATU WA HAKI
Huwezi
kuonewa mbele za mnyakyusa hia jarishi wewe ni kabila gani mnyachu atakutetea patachimbika nahaki yako utaipata

3. SlO WANAFIKI
Mnyakyusa nimtu wa ukweli ukikosea atakuambia hapo hapo umekosea na ukifanya vizuri hivyohivyo utaambiwa hapo hapo haijarishi wewe ninani una cheo gani ukweli utaambiwa

4. HOFU YA MUNGU

wanyakyusa niwatu wenye hofu ya mungu niwatu walio kulia dini niwatu ambao Hawa Amini katika yeyote Ila mungu sio miungu watu niwatu wano ijua vizuri dini hasa ukristo

5.UTAFUTAJI
Hawa jamaa ukifika sehemu huwaoni kwamfano umeenda inchi au mkoa hauwaoni eneo Hilo Basi kimbia eneo Hilo kabla nauri haijakuishia kwani asipo kuwepo mwaisa hapo Nipa gumu mnoo

Umemaliza kila kitu mkuu
 
MWEEE WANYAKYUSA NJOONI HUKU, ETI SISI TULIUA NBC KWELI?? HIYO BENKI INAYODHAMINI LIGI KUU SIO NBC JAMANI...

MBONA WACHAGA WAMEJAA CRDB SISI HATUSEMI TENA WACHAGA WA MARANGU?

PALE SUA MORO WAMEJAA WAHAYA WATUPU SISI TUPO KIMYA MTUACHE!.

EJOOO!!!
 
YESU ANATUFUNDISHA KUACHA UKABILA MAANA WOTE NI WATOTO WAKE NA KWAKE TUTAREJEA
    • Surah Al-Hujurat (49:13): "Enyi watu! Sisi tumekuumba ninyi kwa mwanamume na mwanamke na tumekufanya kuwa mataifa na makabila ili mjuane. Hakika, mwenye heshima zaidi kwenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule aliye mcha zaidi."
    • Aya hii inaonyesha kwamba watu wameumbwa kutoka kwa baba mmoja na mama mmoja, na tofauti zao ni kwa ajili ya kujua na kuheshimiana, si kwa ajili ya ubaguzi au kupendelea.
  • Haram Kutoa Tofauti kwa Kabila au Rangi:
    • Hadithi ya Mtume Muhammad (SAW): Mtume Muhammad alisema, "Mtu mweusi au mzungu hana ubora juu ya mwingine, bali kwa matendo mema na ucha Mungu." (Hadithi ya Al-Bukhari na Muslim).
    • Hadithi hii inaonyesha kwamba kiwango cha mtu katika Uislamu kinategemea matendo yake na ucha Mungu, si kabila au rangi.
 
Wanyakyusa wapo kila siku, tunajua mkoa wanatoka na tabia zao. Tunaishi nao mitaani, tunashiriki nao mambo ya kijamii kila siku na hakuna lililoharibika. Sidhani kama kufanya tamasha lao kupitia TV ndio kutawafanya Sasa wajione wapo kwenye jamhuri yao.

By the way Mimi ni mngoni usije ukadhani nimeandika kwa sababu ni mnyakyusa.
kuepusha ukabila unaonaje Sheria ipige marufuku kuongea lugha zetu tuongee kiswahili ili tuwe wamoja zaidi!
 
Mbona kama unapotosha kuenzi uniqueness yako sio ukabila,hao wanajivunia uwepo wao na tamaduni zao kama utambulisho wao! Huu SASA si ukabila ukabila ni kupeana fursa ambazo wengine wanastahiri kupata Kwa kuangalia watu WA kabila Fulani Tu! Hivi ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom