Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Kabila maana yake TAIFA!."faida ya makabila,imebaki kwenye kutambika"Mwl.Nyerere
Asante mkuu!Sijawahi kuona mnapinga sherehe za krismasi, Eid au diwali.. zote hizo za kizungu, kiarabu na kihindi.
Wanyakyusa na wasukuma kupiga Ngoma zao tu, muafrika mwenzao ushaanza kulalamika eti ukabila!
Kuna ukabila gani hapo?
Wametoa hate speech yoyote?
Tujiheshimu na tuache kudharau mila zetu.
Na tutaanzisha cultural carnivals kusherehekea tamaduni zetu za kiafrika..
Nyie wazungu pori na waarabu Koko mjinyonge tu.
Hakika!Tabia za mnyakyusa
1.WATOAJI
huwezi kulala njaa na mnyakyusa yupo na Hera pembeni yako Hilo haliwezi kutokea
2.WATU WA HAKI
Huwezi
kuonewa mbele za mnyakyusa hia jarishi wewe ni kabila gani mnyachu atakutetea patachimbika nahaki yako utaipata
3. SlO WANAFIKI
Mnyakyusa nimtu wa ukweli ukikosea atakuambia hapo hapo umekosea na ukifanya vizuri hivyohivyo utaambiwa hapo hapo haijarishi wewe ninani una cheo gani ukweli utaambiwa
4. HOFU YA MUNGU
wanyakyusa niwatu wenye hofu ya mungu niwatu walio kulia dini niwatu ambao Hawa Amini katika yeyote Ila mungu sio miungu watu niwatu wano ijua vizuri dini hasa ukristo
5.UTAFUTAJI
Hawa jamaa ukifika sehemu huwaoni kwamfano umeenda inchi au mkoa hauwaoni eneo Hilo Basi kimbia eneo Hilo kabla nauri haijakuishia kwani asipo kuwepo mwaisa hapo Nipa gumu mnoo
Mwisho wanyachu ndio kabila linalo ongoza kwa kuchangamana na kuishi na kila jamii
Ukimkuta Zanzibar Basi utamkuta anazungumza Kama mzanzibari
Ukimkuta tanga basi utamkuta Ana zungumzia Kama watanga
Ukimkuta pwani hivyo hivyo Kama watu wa pwani na akiludi mbeya Basi utamkuta Kama mnyachu
Walitaka kutufanya tuwe waarabu na wazungu zaidi ya makabila yetu,acha tusherekee asili yetu.Nchi hii walioanza kuongoza walihakikisha wanaondoa ukabila na kujenga umoja wa kitaifa.
Ila upepo mdogo walionao viongozi wa Sasa ndio unarudisha ukabila ndio maana unaona machifu wamepewa kipaumbele Ila watu wakizungumzia Tanganyika inaonekana dhambi.
Ni kweli,nimeona ofisini kwetu nimewafanya wakiongee.....mkuu wa shule ni msukuma lakini kila siku anionapo kazini lazima aite "gwe nkikulu!" Yaan "we mwanamke" ....mtanyooka
Nawe umekosea pia.We ni muongo....π€£π€£ Mwanamke kwa kisukuma anaitwa mwanike....
Tabia za mnyakyusa
1.WATOAJI
huwezi kulala njaa na mnyakyusa yupo na Hera pembeni yako Hilo haliwezi kutokea
2.WATU WA HAKI
Huwezi
kuonewa mbele za mnyakyusa hia jarishi wewe ni kabila gani mnyachu atakutetea patachimbika nahaki yako utaipata
3. SlO WANAFIKI
Mnyakyusa nimtu wa ukweli ukikosea atakuambia hapo hapo umekosea na ukifanya vizuri hivyohivyo utaambiwa hapo hapo haijarishi wewe ninani una cheo gani ukweli utaambiwa
4. HOFU YA MUNGU
wanyakyusa niwatu wenye hofu ya mungu niwatu walio kulia dini niwatu ambao Hawa Amini katika yeyote Ila mungu sio miungu watu niwatu wano ijua vizuri dini hasa ukristo
5.UTAFUTAJI
Hawa jamaa ukifika sehemu huwaoni kwamfano umeenda inchi au mkoa hauwaoni eneo Hilo Basi kimbia eneo Hilo kabla nauri haijakuishia kwani asipo kuwepo mwaisa hapo Nipa gumu mnoo
Umemaliza kila kitu mkuu
Hahahaha Asante...kwa ELIMUNawe umekosea pia.
'Mwanike' ni msichana.
Mwanamke ni: 'nkima' au 'nsheki' na
Mke ni 'ndeki'.
Mbona kibantu ni lugha nyepesi sana, mnakwama wapi?
KaweNawe umekosea pia.
'Mwanike' ni msichana.
Mwanamke ni: 'nkima' au 'nsheki' na
Mke ni 'ndeki'.
Mbona kibantu ni lugha nyepesi sana, mnakwama wapi?
Msichana = mwanikeWe ni muongo....π€£π€£ Mwanamke kwa kisukuma anaitwa mwanike....
YESU ANATUFUNDISHA KUACHA UKABILA MAANA WOTE NI WATOTO WAKE NA KWAKE TUTAREJEA
kuepusha ukabila unaonaje Sheria ipige marufuku kuongea lugha zetu tuongee kiswahili ili tuwe wamoja zaidi!Wanyakyusa wapo kila siku, tunajua mkoa wanatoka na tabia zao. Tunaishi nao mitaani, tunashiriki nao mambo ya kijamii kila siku na hakuna lililoharibika. Sidhani kama kufanya tamasha lao kupitia TV ndio kutawafanya Sasa wajione wapo kwenye jamhuri yao.
By the way Mimi ni mngoni usije ukadhani nimeandika kwa sababu ni mnyakyusa.
UlimolaWe ni muongo....π€£π€£ Mwanamke kwa kisukuma anaitwa mwanike....
Hajui maana za ukabila na utamaduni wa kabila husika.Kuweni basi waingereza πππ