Hakuna kabila lenye HIMAYA yake kwahyo tuache woga tuwaache watu wafanye tamasha lao watu wapate ulaji na ajira za muda mfup.
Sasa kama tunawaogopa wanyakyusa je wasukuma wakifanya si ndo tutahama nchiiiii.
Watu wafanye hafla zao ila tu wasivunje katika na sheria za nchi