GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Hivi haya Matamko ya Kibabe ya Waziri Mchengerwa ndivyo Mawaziri wote wa TAMISEMI wanatakiwa kuyatoa au Yeye ni 'Waziri Special' wa TAMISEMI ya sasa?
Naomba niwekewe List hapa ya Mawaziri wa TAMISEMI wa Tawala zote Tano zilizopita tokea Uhuru wa Taifa letu la Tanzania na ikiwezekana pia kama kuna anaojua walivyokuwa Wakitenda (hata kwa Picha Mjongeo) aniwekee hapa ili nijue nao pia walikuwa na Matamko ya Kibabe na Nyodo kama kwa Mchengerwa kwa sasa?