Haya matope usoni hii ni ishara gani.?

Haya matope usoni hii ni ishara gani.?

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
640
Reaction score
1,141
Katika imani kuna mambo yanafanyika sana. Na leo hii naona msalaba kwa baadhi yenu kwenye paji la uso.

Waislam wanafunga tu kwa kunuia hii kupakana matope usoni hii ni ishara gani.?

Kwa nin kama ni kufunga isiwe kiifikra zaidi kuliko kupakaa matope, huu sio ushirikina kweli?

Pili, hii tabia kila mwaka Kufunga kwa waislam ukifika, kuna watu wanasogeza spika zao karib na nyumban kupiga kelele eti ni mahubiri kwa nini iwe wakati huu kama sio kutafutana ubaya bure
 
Back
Top Bottom