Haya matukio yalinifanya niamini uchawi upo

Uchawi ambao Mimi nauamini ni uchawi wa kuwaambia watu mambo yako yakiwa bado katika mchakato.

Huo ndo uchawi Ila Mimi nauita negative energy kwamba kuna watu ukiwapa habari zako nzuri ile kuumia ndo uchawi wenyewe.

Habari za mzee nani mchawi Mimi huwa nabaki kuzisikia na huwa siziamini .
 
We Jamaa. una akili sana
 
Uchawi upo Mzee
 
Huu ni uongo mtupu. Police gani wa kulipa hela ya engine ya gari hata kama ni laki 3 hakuna
Kitu kimepotea mikonon mwako kwann usilipe, police wanaangalia wew ni mtu wa namna gan kama boyaboya hulipwi kwel
 
Nenda kaishi makaburini Uwaone wakiwa wanakuja kusalimia mizimu yao
Kwa umri wangu nilionao sijawahi wala watu wangu wa karibu kushuhudia/kufanyiwa uchawi vipi niamini???

Kama ni makaburini mkuu watu tulishawahi kukeshe tena bila hata taa Chaa ajabu sana labda mbwa kuja kupandiana ila sio unaowaita "mizimu/wachawi"
 
😳😳😳😳
 
Makaburi ya wapi nikashuhudie
 
TANGAZO:Kwa wale wote ambao hawaamini kama uchawi upo tujuane ili siku nikimaliza mafunzo yangu ya uchawi nije niwapige tukio moja litakalo waaminisha uchawi upo
 
Hivo vitu vipo kweli mkuu aiseee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sema ambaye hajawahi kutana navyo hawezi kuelewa mpaka atakapokuja kuvishuhudia yeye mwenyew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…