Haya matunda yana soko sana

Utafanya nianze kuyala kwenye menu. Nilikula sana jkt hamu ikaisha. Bilinganya(maini) na cabbage ( curl kit)

Heee ulikuwa kambi ipi? Bilinganya tamu bana yaani rosti ya bilinganya tamu sana na ugali wa motoo halafu kasamaki ka kukaanga pembeni... weeh acha tuu utamu kunoga.
 
Sijui niko peke yangu ila siyapendi hayo madude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…