Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona tu unavyo thaminishaSijui kwanini nimefikiria hiki nilichofikiria muda huu..
Utafanya nianze kuyala kwenye menu. Nilikula sana jkt hamu ikaisha. Bilinganya(maini) na cabbage ( curl kit)
Yanapendwa na WanyakyusaSijui niko peke yangu ila siyapendi hayo madude
Kwasababu haupendi vibamia?Sijui kwanini nimefikiria hiki nilichofikiria muda huu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tanzania ya viwonderSijui kwanini nimefikiria hiki nilichofikiria muda huu..
KUmbeee...Yanapendwa na Wanyakyusa
Nilifikiria utamu wa hayo madudeHaya unafikiria nini??
ItakuwaKwasababu haupendi vibamia?
Pweza wa Kukaanga hana loloteeePia tui la nazii na mchuzii wa pwezaa