Haya matusi ya rejareja ya Oscar Oscar, mamlaka ziko kimya

Haya matusi ya rejareja ya Oscar Oscar, mamlaka ziko kimya

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Mwambieni jamaa yenu aache matusi ya rejareja tena ya kudhalilisha wanawake.
A325BE3A-24A4-46DD-BFD1-FD7C803E945E.jpeg
2276AA29-4FB6-4D17-BCBB-BD7DF0B40F86.jpeg
86F165B7-8346-4455-B84A-1F177A7B5AEA.jpeg
3EF64088-A001-4347-84D0-F25BE5C3EC95.jpeg
F47BF6AB-3237-4E4F-814C-3FC85F950798.jpeg
58668725-7BC3-4738-862E-64649595F611.jpeg
 
Nchi ikiwa na wapumbavu wengi,kila mtu anatafuta jinsi ya kutafuta umaarufu!!na huyu naye kupitia huo upuuzi eti naye ni maarufu,na ukiangalia kwenye comments huko watu wanamsifia!!!

A nation reveals itself not only by the men it produces but also by the men it honors, the men it remembers.”

― John F. Kennedy
 
Huyo jamaa ni mpumbavu , sjui Kwa nn kila mtu anayesogea pale anakuwa mtu wa kuhamasisha masuala ya ngono ,
Jamani jamani jamani. Ndiyo maisha tuliyoamua kuyaishi sisi watanzania. Nakuapia mpumbavu kama huyu anakuwa na followers wengi kweli kweli na anaguwa gumzo la mtaani. Only in Tanzania. Tumepotea mwelekeo kwa kukubali wajinga ndiyo wawe viongozi wetu hivyo ili mtu uwe maarufu ni lazima uige viongozi wako walivyo.
 
Huyu jamaa kuna baadhi ya vitu huwa anaongea na vinakuwa na mantiki ila ana ujuaji mmoja uliopitiliza kiasi cha kukera.

Oscar Oscar ni ile design ya mtu asietaka kupitwa na jambo bila kutia ujuaji. Lazima kila jambo awe na la kusema juu yake hata kama halijui.
 
Back
Top Bottom