Haya matusi ya rejareja ya Oscar Oscar, mamlaka ziko kimya

Haya matusi ya rejareja ya Oscar Oscar, mamlaka ziko kimya

Mbaya zaidi anaweka na lipicha lake kabisa

Nakumbuka mambo kama haya nilikuwa nayaandika zamani kipindi ndo facebook imechemka nikiwa na umri mdogo siku hz huwa nikitumiwa kama kumbukumbu huwa najishangaa tu kuwa niliwezaje kuandika hayo yote hvyo hadi nashangaa lakin mwenzang kaanza kuyaandika uzeeni
 
kila mtu unahaki ya kutoa maoni na mawazo isipokuwa hajavunja sheria huyo jamaa anamashabiki wengi wanaopenda upumbav wake na kupitia mambo ya kipumbaf wajanja ndo wanapiga hela.mf mange kimambi ana piga 2b kupitia umbea, kama hupendi maswala ya osca osca mu unfollow tu mkuu
 
Jamani jamani jamani. Ndiyo maisha tuliyoamua kuyaishi sisi watanzania. Nakuapia mpumbavu kama huyu anakuwa na followers wengi kweli kweli na anaguwa gumzo la mtaani. Only in Tanzania. Tumepotea mwelekeo kwa kukubali wajinga ndiyo wawe viongozi wetu hivyo ili mtu uwe maarufu ni lazima uige viongozi wako walivyo.
Hatari hii
 
Back
Top Bottom