Haya mavazi huwa yanawapendeza sana wadada!!

Haya mavazi huwa yanawapendeza sana wadada!!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wadau,me cjui nina ugonjwa gani,yani kila nkiona mdada amevaa kipedo au skin jeans afu awe na figure flani hvi nzur huwa nadata.
 
Pumba tu siku ukinya mtasema napenda mavi meusi msiweke pumba jf kwa watu makini
 
Inaonekana urafiki wako na jinsia ya ke ni wa mashaka sana, maana hivi ndio vivazi vya mabinti ckuhizi.🙄
 
Wadau,me cjui nina ugonjwa gani,yani kila nkiona mdada amevaa kipedo au skin jeans afu awe na figure flani hvi nzur huwa nadata.
Bora uendelee kudata kwa kuona tu. Ukifungua ndani hutaona cha maana. Kwa akina sisi tuliopata fursa ya kufunua wengi tumeishia kujilaumu tu.
 
Kwani hua mnategemea kuona nini?
Mambo mengi muhimu ni ule utamu wa ndani unaolingana au kuendana na mwonekano wa nje. Wengi wetu tumeishia kujilaumu kwa kupoteza muda na fedha. Tunachokiona na kuonja kwa ndani hakifanani hata kwa robo na kile cha nje.
 
Well sio kila tunda linaloonekana kuiva lina utamu ndani.
Muwe mnaongeza sukari.
 
Back
Top Bottom