SHEDEDE JF-Expert Member Joined Feb 6, 2021 Posts 339 Reaction score 551 Oct 16, 2021 #41 Hayo hata sifa ya kuitwa mawe hayana...kikwetu tunaita "fugusa" Ukifikicha na vidole linakua vumbi usitegemee kupata hata ulanga
Hayo hata sifa ya kuitwa mawe hayana...kikwetu tunaita "fugusa" Ukifikicha na vidole linakua vumbi usitegemee kupata hata ulanga
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,307 Reaction score 12,410 Oct 16, 2021 #42 Bingwa Mara 4 said: Habari jf? naomba mnisaidie kutambua kama hii ni mawe ya madini ama la? kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua View attachment 1974986View attachment 1974987View attachment 1974988 Click to expand... Samahani hivi hayo mawe ni slipery(yanateleza)??? Ukilikata linavunjikajeee?? Je yanaleta ugumu wakati wakuvunjaaa??
Bingwa Mara 4 said: Habari jf? naomba mnisaidie kutambua kama hii ni mawe ya madini ama la? kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua View attachment 1974986View attachment 1974987View attachment 1974988 Click to expand... Samahani hivi hayo mawe ni slipery(yanateleza)??? Ukilikata linavunjikajeee?? Je yanaleta ugumu wakati wakuvunjaaa??