Haya Mazoedi!!!!!Dah ni kiboko karibuni........

Haya Mazoedi!!!!!Dah ni kiboko karibuni........

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
472
Reaction score
64
Mabrodaaaaaz na masistaaz karibuni kwenye mazoezi kweli nilisoma hapa kwa blog ni jinsi gani nitakata wait sasa tupo kama dadaz wanne hivi sasa tunatembea muda wa 1hr na pia nakula kidogo ni kama week mbili sasa majibu nimeyaona karibuni tujishughulishe anayetaka kujiunga anipm tuwe pamoja mida ni jioni after working hrs...

Tanzania na Mazoezi Tunaweza....Mchana mwema...
 
Back
Top Bottom