Haya mengine ongezea wewe πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Ivi hata ulaya ukiagiza supu utapewa chapati mbili bila kulizwa idadi ...maana hapa bongo ukisha agiza supu hutoulizwa idadi ya chapati
 
Mwanamke kuamini yeye ndo anapaswa kupigiwa simu kila siku na kupewa hela,hawez toa hela kwa mwanaume.

Kitanda kuwekwa ukutani(pembeni mwa chumba)
 
Ukisemeshwa na mkubwa wako hutakiwi kujibu na ukikaa kimya utatafsirika pia una kiburi
 
Namba 6 inanihusu
Namba 5 sijawahi aisee,, mie inaanzaga ndio namaliza na kuoga 🫣

Namba 2, mimi nalala mwanzo wa kitanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…