Kiingilio back in 90s tuliingilia sh 20 hapo ilikuwa imepanda kutoka shingi Tano ya awali 1992z hukonimecheka sana aisee
watoto watatu je
anakonda
mista cheni
sam hong
ukipotea nyumbani saa 5 hawakuoni mpaka saa 2 za usiku, unakula stik maisha yanaendelea
way back
Kaandika Maksudi hivyo,kama mtaani tulivyokuwa tunaziita.Mkuu zinaitwa hivi
1.commando
2.predator (alikufa kwa ukimwi huyo aliyecheza predator)
3.the hardway (the only way)
4.deadly prey
6.american ninja
11.cyborg
14.no retreat no surrender
18.the terminator
Yeah.yani wazungu bana sio watu wazuri.kuna movies zao za miaka ya 80 tayari walikua na cd ila huku wanaleta VHS tena low qualityNi kweli hata ukizicheki youtube au torrent ziko HD sana ma VHS yalikuwa ya kiongo
Mimi mpaka leo movies za ma dj wa bongo siangalii[emoji23] ukiweka subtitle utacheka sana jinsi wanavodanganyaRufufu atapigwa moto mkali kwa kututafsiria uongo.. Shenzi kabisa alikua hajui kingereza kabisa.
Umesahau..
- Shaulini visi lama
- Shurushet Na ajei
- Anodii ya jenii
- Sanideo
Ndio mkuuHadi wei ndo hiyo ya mniga analiwa na mamba
[emoji3]utotoni hakuna raha mkuu .ukirudi utotoni utakua huna heladaaah natamani nirudi utotoni.
enzi hizo ilikuwa Kila nikirudi home stick but sikomi.kesho yake tenaaaa
ilikuwa ikifika 3/4 usiku wanasema mida ya pilau.
sasa watoto walikuwa wanatutoa nje.
dawa yao ilikuwa tunalipa kingilio mara 2 ya watu wqzima au tunachana makuti na kuchungulia..dah ilikuwa so pw..baada ya kuchek pilau bhas hapo wadau wanaagana kwa stahili ya kwenda kukojoa an hapo ndo hadi kesho tena.
Kweli mkuu has a lufufu Na juma khan hawajui kabisa. DJ Mack Na Dj Afro nawakubali sana wako vizuri kwenye ngereMimi mpaka leo movies za ma dj wa bongo siangalii[emoji23] ukiweka subtitle utacheka sana jinsi wanavodanganya
Naangalia za dj Afro sababu hua hadanganyi afu anafanya movie inoge kuliko ukiangalia ya english
Jamaa kawa teja saivi.alikua rafiki mkubwa wa michael jackson ingawa michael alikua mtu mzimaHomu aloni
Anasikitisha sana asee, kumbee hata nilikuwa sijui hiliJamaa kawa teja saivi.alikua rafiki mkubwa wa michael jackson ingawa michael alikua mtu mzima
Hahahaa sure, wale wajeshi waliokuwa wanakuja kwa wingi halafu komandoo anawamiminia risasi huku akipiga kelele hiyaaaaa hiyaaaaa kamoni kamoni ngi ngi ngi ngi ngi ! Sie tulikuwa tukiwaita WAROMBOKaandika Maksudi hivyo,kama mtaani tulivyokuwa tunaziita.
Mfano The hard way,
Sisi tulikuwa tunaambiana "Dogo usijiite niga,mniga kashaliwa na Mamba".
HD angalau tuliishia kuiona kwenye sinema nyuma ya 1995 kabla VHS hazijachukua hatamu...asante Mwinyi aliruhusu videoYeah.yani wazungu bana sio watu wazuri.kuna movies zao za miaka ya 80 tayari walikua na cd ila huku wanaleta VHS tena low quality
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3]utotoni hakuna raha mkuu .ukirudi utotoni utakua huna hela