Haya mliowahi angalia hizi movie tujuane

Haya mliowahi angalia hizi movie tujuane

nimecheka sana aisee

watoto watatu je
anakonda
mista cheni
sam hong

ukipotea nyumbani saa 5 hawakuoni mpaka saa 2 za usiku, unakula stik maisha yanaendelea

way back
Kiingilio back in 90s tuliingilia sh 20 hapo ilikuwa imepanda kutoka shingi Tano ya awali 1992z huko
 
Mkuu zinaitwa hivi
1.commando
2.predator (alikufa kwa ukimwi huyo aliyecheza predator)
3.the hardway (the only way)
4.deadly prey
6.american ninja
11.cyborg
14.no retreat no surrender
18.the terminator
Kaandika Maksudi hivyo,kama mtaani tulivyokuwa tunaziita.

Mfano The hard way,
Sisi tulikuwa tunaambiana "Dogo usijiite niga,mniga kashaliwa na Mamba".
 
Ni kweli hata ukizicheki youtube au torrent ziko HD sana ma VHS yalikuwa ya kiongo
Yeah.yani wazungu bana sio watu wazuri.kuna movies zao za miaka ya 80 tayari walikua na cd ila huku wanaleta VHS tena low quality
 
Rufufu atapigwa moto mkali kwa kututafsiria uongo.. Shenzi kabisa alikua hajui kingereza kabisa.
Umesahau..
  • Shaulini visi lama
  • Shurushet Na ajei
  • Anodii ya jenii
  • Sanideo
Mimi mpaka leo movies za ma dj wa bongo siangalii[emoji23] ukiweka subtitle utacheka sana jinsi wanavodanganya
Naangalia za dj Afro sababu hua hadanganyi afu anafanya movie inoge kuliko ukiangalia ya english
 
daaah natamani nirudi utotoni.
enzi hizo ilikuwa Kila nikirudi home stick but sikomi.kesho yake tenaaaa

ilikuwa ikifika 3/4 usiku wanasema mida ya pilau.
sasa watoto walikuwa wanatutoa nje.
dawa yao ilikuwa tunalipa kingilio mara 2 ya watu wqzima au tunachana makuti na kuchungulia..dah ilikuwa so pw..baada ya kuchek pilau bhas hapo wadau wanaagana kwa stahili ya kwenda kukojoa an hapo ndo hadi kesho tena.
[emoji3]utotoni hakuna raha mkuu .ukirudi utotoni utakua huna hela
 
Mimi mpaka leo movies za ma dj wa bongo siangalii[emoji23] ukiweka subtitle utacheka sana jinsi wanavodanganya
Naangalia za dj Afro sababu hua hadanganyi afu anafanya movie inoge kuliko ukiangalia ya english
Kweli mkuu has a lufufu Na juma khan hawajui kabisa. DJ Mack Na Dj Afro nawakubali sana wako vizuri kwenye ngere
 
Kaandika Maksudi hivyo,kama mtaani tulivyokuwa tunaziita.

Mfano The hard way,
Sisi tulikuwa tunaambiana "Dogo usijiite niga,mniga kashaliwa na Mamba".
Hahahaa sure, wale wajeshi waliokuwa wanakuja kwa wingi halafu komandoo anawamiminia risasi huku akipiga kelele hiyaaaaa hiyaaaaa kamoni kamoni ngi ngi ngi ngi ngi ! Sie tulikuwa tukiwaita WAROMBO
 
Yeah.yani wazungu bana sio watu wazuri.kuna movies zao za miaka ya 80 tayari walikua na cd ila huku wanaleta VHS tena low quality
HD angalau tuliishia kuiona kwenye sinema nyuma ya 1995 kabla VHS hazijachukua hatamu...asante Mwinyi aliruhusu video
 
[emoji3]utotoni hakuna raha mkuu .ukirudi utotoni utakua huna hela
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mf kuna ma manz nilikuwa nawazingua utotoni lakini now daz wamekuwa mapini kichizi na wamepanda bei..
utotoni kuna fursa nying sema akili inakuwa finyu
nakumbuka kipindi nipo drs la 5 tuliokota madini ambayo majambazi walivamia kwa mfanyabiashara mkubwa wa madini..
sasa kumbe walificha kwenye kipori na sie huko tulikuwa tunaendaga kusaka.
kufika eneo lile mbwa akaanza kufukukua fukua chini.
llooh unajua kilifataje MKUU?
 
Back
Top Bottom