GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kachoka amepiga dozi kubwa tangu jana usiku 😂😂Sijakuzoea hivi mkuu🤣🤣🤣 mistari minne kweli?
Hujakosea Mkuu.Kachoka amepiga dozi kubwa tangu jana usiku 😂😂
Mzee kristapen unayowapiga utopolo hebu punguza dozi wanashindwa kutembeaHujakosea Mkuu.
Leo mwisho na kuanzia Kesho nitawafurahisha kwa kuja na Taarifa moja ya Ndani ya Kuihusu Simba SC yangu na nitawasema ( nitawananga ) mno Simba SC kama Kawaida yangu na najua wana Yanga SC wote hapa JamiiForums watafurahi na kuendelea Kunipenda na kuwa Marafiki zangu kama Kawaida yao.Mzee kristapen unayowapiga utopolo hebu punguza dozi wanashindwa kutembea
Sasa hivi imekuwa kama ya mbuzi iko nje nje watu ni kujipigia tuNa Siku zote raha ya Tundu lililowazi ni kila mara tu kutupwe Mchele wa Mbarali ili Ndege wazuri wa Gerezani Mbeya waingie Kuula au Korosho za Namungo Lindi ziweze kupenyezwa humo ili ziive vizuri.