haya na hili je!!

beibe nasty

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
1,640
Reaction score
524
za asubuh jaman, kunajambo nalo linautata etii my ex boyfrend niliamua kuachana nae coz halikua ananichukulia poa sasa baada ya miaka miwil kupita eti anakuja anasema ananihitaj niwe mpenz wake eti amejuta saana, but jaman meshindwa muelewa kabisaa hebu nambie ni sahihi kwel na mi nina mahusiano mapyaa?
 
rudisa majeshi, kijana kajifunza
 
Songa mbele usirudi nyuma mtoto anatamaa huyo ka mzee mkapa kuna kitu kasahau kwako nadhani ndogo.
 
Jamani mpenzi wangu beibe nasty, mbona umenianika tena humu Jf. Nisamehe basi mami. Huoni kila mchangiaji anakushauri unisamehe? Sitarudia tena kosa sweetie wangu..
 
hahahahaaa beibe si unit nawe we si uliniacha mim uliona kama mtoto tu sina jipya sasa ukarud ukaona mtoto anapendeza hadi ukakiri mwenyew hun bt bby mi nina mtu mwngne siwez muumiza n im happy sasa
 
hahahahaaa beibe si unit nawe we si uliniacha mim uliona kama mtoto tu sina jipya sasa ukarud ukaona mtoto anapendeza hadi ukakiri mwenyew hun bt bby mi nina mtu mwngne siwez muumiza n im happy sasa
.
Oooh honey, usilipize baya kwa baya my.. Kosa sitorudia plz nisamehe and thc tym sitakua na penzi la "kichina" tena, ni orijino and it will last 4rever. I love you beibe nasty!
 
.
Oooh honey, usilipize baya kwa baya my.. Kosa sitorudia plz nisamehe and thc tym sitakua na penzi la "kichina" tena, ni orijino and it will last 4rever. I love you beibe nasty!
huna lolote yamekushinda huko sasa wataka niletea fujo tuu
 
huna lolote yamekushinda huko sasa wataka niletea fujo tuu
.
Duh! Nakubembeleza kote huko. Hapa kweli sina tena dili. Kila la kheri ktk penzi lako jipya beibe nasty!
UMPENDE, UMHESHIMU, SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO!
 
hahahaahhahah si unit nilikupenda laazizi bt ndo ivo wat is gone is gone
 
huwa naamini masuala ya mapenzi hayana ushauri, sijui kwanini but naamini hivyo! kama unampenda unampenda tu! huwezi kupata ushauri conclusive popote, especially online!
 
hahahaahhahah si unit nilikupenda laazizi bt ndo ivo wat is gone is gone
.
Naona nilikuchosha kwa kuwa nilikua napenda kuchat zaid kuliko kukupigia sim ndo maana jana ulinianzishia sred..(kuna ukweli hapa, lol)
 
huwa naamini masuala ya mapenzi hayana ushauri, sijui kwanini but naamini hivyo! kama unampenda unampenda tu! huwezi kupata ushauri conclusive popote, especially online!

Asante mwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…