beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 524
za asubuh jaman, kunajambo nalo linautata etii my ex boyfrend niliamua kuachana nae coz halikua ananichukulia poa sasa baada ya miaka miwil kupita eti anakuja anasema ananihitaj niwe mpenz wake eti amejuta saana, but jaman meshindwa muelewa kabisaa hebu nambie ni sahihi kwel na mi nina mahusiano mapyaa?