Mi nishamalizaaaaa,mi nilidhani utanichamba mpaka nizimiee tafuta manenoo mapyaaaa
Una uhakika mi nimetuma pm utajiroga nakuambiaaa kwanzaaa ndio nipooo hutaki anzisha blog yakoo bibie kwan uongo yaliyosemwaaaa,wambea tunajuanaa nakuambiaaa uache umbea upashkuna ,kwa kipi ulichonachooo,wa kusoma utakua wewee pesa ndio mpangooo mzimaaa utaungua jua mpaka uchunikee na hivi upo ka lupita na badoooo