Ujumbe woote umeelewa hapo kwenye red tu
Btw hiyo avatar inatishaje
Mimi jina lako tu linanipaga hisia za kuoa
Nitakutonya my dear...kiroho swafiiii maana leo nafuatilia tukio kwa ukaribu
Enjoy your Wine
Ndio uoe sasa....
Ana 26
Theme ya kwenye party hiyooo
Hii movie itaisha lini? Maana nisha sahau season ya ngapi niliishia
Ha ha ni kweli na hivi birthday party imependeza ndo usiseme kwenye kurasa za mbele kabisa
Dada ake mie mambo zako....
Ni vijimambo tu
Kumbe bado ni mdogo!
Bila shaka hatuna wiki3 Diamond Lazima atoe nyimbo mpya na hata kama sio nyimbo lazima afanye kitu!
Wema ni mtaji mkubwa sana kwa Diamond hayo ya Menina bila shaka yalipangwa hili kuvuta attentions za watu!
Hata kama Diamond atakuwa ana taka kumuacha Wema lazima anaweza shindwa maana Wema ana msaidia sana kuuza muziki wake na hata uongozi wake lazima uhakikishe Wema aondoki ili kuendelea kuteka soko la Bongo!
Katika kitu kinamfanya Diamond awazidi wasanii wengine ni jinsi ya kucheza na hisia za mashabiki wake na hasa kwenye mitandao ya kijamii na hata hapa tunacho jadili ni matokeo ya Diamond na timu yake kujipanga vizuri na kuteka mitandao ya kijamii hasa Jf!
Kwakweli katika sehemu naweza kuwasifu timu ya Diamond ni uwezo wa kuteka mitandao hapa Tanzania kwa ujumla katika hili nimewakubali!
na chibu angekuwepo leo nahisi tusingelala,hivi ile pete ya uchumba aliyovalishwaga bado anaivaa.yani of all masinemareee hili kiboko maana halieleweki litaishaje maana kila epsode ina maudhui yake.
Uliyo yasema ni kweli kabisa umefikiri kama mimi wana create matukio ku make headlines
How can I deny this feeling i'm feeling inside
? No one can never take your place can never take your space,
Thats a fact I cannot erase
and you are the one that makes me smile
,make me float like a boat upon the nile.
Ha ha ha ha. Munao kaa na kufatilia haya mapenz ya hawa watu hata nyinyi nawaita kwanza wambeya ya mitandaon pili wapuuz hamna kaz ya kufanya.