Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Status
Not open for further replies.
Mnafiki mmoja mbona ulimwanika hadharani unamdhalilisha kila siku umeona wema kajitambua unajibebenda lol

muke wa mukuu mi sidhani kama alimdhalilisha, alimueleza ukweli, wanasemaga (kampa kitu kichungu) na kiukweli kuna mabadiliko wema kafanya and thats why move inaendelea, cha kufanya wee agiza popcon
 
comment yako inaonesha ni jinsi gani umekata tamaa,maskini!! una wish waachaneeee???? keep on praying mwaya Mungu wetu ni muaminifu na anajibu maombi.
Hahahah sooon spare my coment....I hate mwanamke yeyote golikipa anaetegemea kitumbua kuishi mjini
 
Hahahah sooon spare my coment....I hate mwanamke yeyote golikipa anaetegemea kitumbua kuishi mjini
adhabu ya kabuli aijuae maiti,pilipili usiyoila yakuwashia nini?kitanda usichokilalia hujui kunguni wake
 
Attachments

  • 1411927168238.jpg
    48.2 KB · Views: 335
Last edited by a moderator:
Hhahaha Dina una vituko sana! Naona shigongo ameshapata front page news!

Yaan leo mi nishalazwa kabisa ICU wema katufungajee, warumi angekuwepo leo ningecheka mnoo
Ila sio tu kesho kutwa tusikie hana magarii maana Wema kwa maonyesho namkubaliii
 
Last edited by a moderator:
Duuuu mahaba mahabani. Mliokuwa mnawawangia mpaka kufungua thread aibuuuuu zenu. Msipende kuingilia mapenzi ya watu. Awe mkubwa awe malaya ndo kashapendwa na umalaya wake.
Hhahaha Dina una vituko sana! Naona shigongo ameshapata front page news!
 
Last edited by a moderator:
Duuuu mahaba mahabani. Mliokuwa mnawawangia mpaka kufungua thread aibuuuuu zenu. Msipende kuingilia mapenzi ya watu. Awe mkubwa awe malaya ndo kashapendwa na umalaya wake.

Tumekusikiaaa nawe utapata gari moja ile ya zamani etii
 
Tuwekeeni na kadi za gari ili mtuue kabisaa leo msitubakishee isije kua gari wamekod ili kutukomeshaa maana hata.ile nyumba ya milioni 400 hatukulala aisee eti kokuhilwa
Martin katoa wapi pesa ya kununua gariii hapo ndio mmenichoshaaa aisee
 
Last edited by a moderator:
Haya mwenzenu kapewa Benz kitu BMW...

Finally Wema kataja umri wake halisi.. maana bday ya mwakajuzi alidai kazaliwa mwaka 1990 teh teh
 
Tuwekeeni na kadi za gari ili mtuue kabisaa leo msitubakishee isije kua gari wamekod ili kutukomeshaa maana hata.ile nyumba ya milioni 400 hatukulala aisee eti kokuhilwa
Martin katoa wapi pesa ya kununua gariii hapo ndio mmenichoshaaa aisee

yani katoa bmw wakati yeye anaendesha vitz.haka ka epsode ka aliyetoa hiyo bmw katakuwa katamu embu tumsuvbirie warumi labda atakuwa na jibu.
 
Last edited by a moderator:
Umeongea ukweli mtupu...

Wema ana influence sana mie nimeelewa leo..mie nampenda Wema naonaga Chibu ndie happiness yake.... wacha waendelee kututeka kama majeshi ya Al shabab vile

Am happy tu leo
hahahahaaa nimeipenda hii, umekubali kuwa mateka na wala huna mpango wa kuomba rescue
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…