Haya ndio madhara yatokanayo na kujiona mkamilifu 100%

Haya ndio madhara yatokanayo na kujiona mkamilifu 100%

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
471
Reaction score
1,217
1.Mahusiano yatakushinda kwa sababu hata kwenye makosa yako utamlaumu mwingine hivyo utaachwa kila mara na bado utajiona upo sahihi kuachwa 😊

2.Utaendelea kubaki na makosa yako na wengi watachukia kufanya kazi na wewe wataanza kukukwepa.

3.Utaona kila mtu hafai kwa sababu utataka upate mtu mkamilifu 100% kitu ambacho hakiwezekani

4.Kimafanikio utakwama kwa sababu mafanikio ni pamoja na kukubali makosa yako, kujifunza na kufanya upya.

UKIONA KILA MTU HAFAI JUA WEWE NDIO HUFAI KWA KUJIONA MKAMILIFU 100%

#Mwanasayansi Saul kalivubha
#Fikia Ndoto Zako
 
Back
Top Bottom