Haya Ndio Maelezo Aliyotoa Mange Kimambi Kuhusu Tatizo La Msanii Kabula!

Mnachoshangaa nini hawa wanajuana.Huwezi jua inawezekana Mange yupo right,msimjaji mtu kwa kile anachokiamini.Kuhusu kumtusi hawa watoto wa mjini tuwaache,naamini huyu alochizika atajibu mapigo tu akili ikimkaa sawa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha kwenda kwenye media kimenishangaza hata mie
 
Weka updates mkuu,Mange amethibitisha baada ya kupata ushahidi wa picha Kabula akiwa hospitali wodi ya vichaa Muhimbili, amekiri ni kweli bi dada kachizika baada ya kuambiwa anagonjwa "kuu" , kwahiyo akili zinakuja na kutoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…