Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Chuma changu pendwa cha kuzurura kwenye vijiwe vya kitimoto hapa mjiniView attachment 1628588
Hii ilikuja ikapaki kwenye kijiwe changu maarufu cha kitimoto, kumbe ilikuwa ni wewe mkuu?
Siku nyingine ukija pale kwenye kile kijiwe tushtuane bhana tule kilaji!
Me nilikuwa na hii[emoji1427]hapa! Hope uliiona...basi next time ukiiona ulizia mmiliki!