mada yako ni magoli bora ya uefa au ni Magoli ya Messi kutokuwa top ten?Kama ilivyo kwenye heading apo...Yafuatayo ni magoli Kumi bora yaliyochaguliwa na UEFA Observers Committee(U.O.C) Kwa msimu Wa 2016/2017 Kisha hupigiwa Kura na Kuchaguliwa Moja bora kati ya hayo...Ni aibu sana Kwa Mchezaji Kama MESSI anayeitwa King na Mashabiki Wake kutokuwepo kwa Goli lake Katika List Hiyo...Huku Mashabiki Wake Wakidai Jamaa Hufunga Magoli Mazuri Sana Ya Kutafuta na Yanayovutia Pia, Tuelewe Vipi hapa...ina maana UEFA hawakuona GOLI ZURI ATA MOJA LA MESSI AMA???...INAWEZEKANA MASHABIKI WA MESSI HUWA WANA UPOFU MKUBWA SANA.
mada yako ni magoli bora ya uefa au ni Magoli ya Messi kutokuwa top ten?
Mashabiki wa mmoroko mna shida sanaView attachment 523343
inaonekana unashangaa magoli ya KING kukosekanaKijana tunataka HILO GOLI LICHAGULIWE NA OFFICIAL UEFA WENYEWE SIO NYIE MASHABIKI VINDAKINDAKI WA MESSIAH...KWA MAANA UKITAKA HIVYO KILA MTU ANAWEZA KUCHAGUA GOLI ZURI LOLOTE LA MCHEZAJI WAKE AMPENDAE NA KUPOST....UKWELI NDO HUO KWAMBA UEFA HAWAJATAMBUA GOLI ATA MOJA BORA LA MESSI.
naona wewe mkuu ndio unaumia sana kuliko hata sisi mashabiki wakeHaHaHa!...Powa Mkuu, Au UEFA wanachuki na King wenu nini??
Magoli ya kichuya hasa lile alilowakandamiza kandambili, Ni Bora kuliko magoli ya andunje!naona wewe mkuu ndio unaumia sana kuliko hata sisi mashabiki wake
naona umeanza kumwaga povuMagoli ya kichuya hasa lile alilowakandamiza kandambili, Ni Bora kuliko magoli ya andunje!
akiwepo mnasema anabebwa na asipokuwepo mnapiga keleleHapana me nimefanya kushangaa tu kwa kweli...na sifa zote zile mnazompaga kwa magoli anayofunga imekuwaje kutokuwepo hapo nayeye ameshiriki UEFA?
Huyo Messi kila sehemu hayumo hata kwenye list ya wanamichezo na wanamziki wenye mkwanja kwenye top Ten hayumo, Ronaldo wa 5,Forbes list ya wanamichezo tu hayumo pia wakati RON WA KWANZA.
daaah kweli.mkuu una mahaba na penadoJamaa msimu huu Kafifia sana...ashukuru tu kwa kupata ata Kile kiatu kwa ufungaji bora LaLiga 2016/2017...maana hatopata tena individual award nyingine...mwenzie anabeba tu wewe ona apo chini hiyo tuzo inaitwa Onze D'or amechukua kama mchezaji bora msimu Wa 2016/2017.
View attachment 523371