PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dira gani au hiziNasikia King wenu anamlaumu sana Lucho kwa kumpotezea Dira zake msimu huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dira gani au hiziNasikia King wenu anamlaumu sana Lucho kwa kumpotezea Dira zake msimu huu.
Ile Kona ya kichuya aliyomtungua barthez, andunje atakufa, atazikwa hata ka aiweze abadani!naona umeanza kumwaga povu
na ballon dor halali zilikuwa kipindi cha Sep Blatter ila hizi za sasa ni za kimahaba zaidiMESSI hana mpinzani. Ronaldo hata achukue ballon d'or 50 ila KING atabakia kuwa KING kuwahi kutokea.
na ballon dor halali zilikuwa kipindi cha Sep Blatter ila hizi za sasa ni za kimahaba zaidi
na ballon dor halali zilikuwa kipindi cha Sep Blatter ila hizi za sasa ni za kimahaba zaidi
Nafkiri bado hujajua maana ya mchezaji bora na mfungaji bora,Msimu mzima CR7 kang'ara mechi 5 tu. Zinamfaya awe bora zaidi duniani? Ni mapenzi tu..... Kama ulikua unafuatilia msimu 2016/17 utagundua kuwa Madrid walikua na timu nzuri sana na sanaa zaidi ya Barca . Nadiriki kusema Messi kapiga kazi msimu wote tatizo ni organization ya timu yao ni mbaya. Cr7 kaanza kuonekana robo fainal ya uefa tu kamaliza kuthibitisha yeye n bora something wrong. Tukisema umuhimu wamechi basi tujue hakunaa mechi ya mashindano isiyo ya muhimu.
Najua Cr7 atachukua tuzo kwa kuwa hii tuzo imekaa kishabiki na si uhalisia . ...... Cr7 akiwa na vikombe vingi utasikia tuzo zake na Messi pia ivoivo.
Baloon D'or haina mvuto tena imekaa kimapenzimapenzi tu
Toa maono yako msimu huu wa 2016-2017 nani anastahili hiyo tuzoMsimu mzima CR7 kang'ara mechi 5 tu. Zinamfaya awe bora zaidi duniani? Ni mapenzi tu..... Kama ulikua unafuatilia msimu 2016/17 utagundua kuwa Madrid walikua na timu nzuri sana na sanaa zaidi ya Barca . Nadiriki kusema Messi kapiga kazi msimu wote tatizo ni organization ya timu yao ni mbaya. Cr7 kaanza kuonekana robo fainal ya uefa tu kamaliza kuthibitisha yeye n bora something wrong. Tukisema umuhimu wamechi basi tujue hakunaa mechi ya mashindano isiyo ya muhimu.