Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Punguza wivu we mtoto wa kike...mchwaaaaa!Mmmmh
Ni Bongo tu ndio unayapata maajabu hayo,lakini nchi nyingi waigizaji ndio wenye mpunga wa kutisha kuliko wanamuziki.Muimbaji ana maisha mazuri kuliko muigizaji.[emoji15] [emoji53]
[emoji23] wanaume kwa kuzoom siwaweziimelda finyango finyango kumbe zimo ...[emoji39] majuto safi sana maisha ya kawaida yanatosha kwa alhaji kama yy
Nipo bby wangu lakini nakutext PM unanikaushia tu aisee!....
Mmm bae ngoja niingie,sikuona notificationNipo bby wangu lakini nakutext PM unanikaushia tu aisee!....
Uwe unachungulia. Mi lazima nikutext tu!Mmm bae ngoja niingie,sikuona notification
Hyo ndo bongo jina kubwa maisha ya kawaida sana
.mmmmmhHayati Muhdin Gurumo wa Msondo Aliimba Miaka 64 lakin kaja kumiliki ki Fancargo MWaka wake wa Mwisho hapa Duniani tena kwa kununuliwa na Diamond aliezaliwa 1988,
Maisha halisi ya Bongo ni tamthilia tosha ya kuvutia