Haya ndio maisha halisi anayoishi mzee Majuto

Haya ndio maisha halisi anayoishi mzee Majuto

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Wengi tumekuwa tunamuona kwenye movie lakini hatujui anaishije..
haya ndio maisha yake
Kuna video na screenshots kutoka kwenye video



vlcsnap-2016-11-19-16h24m21s184.png



vlcsnap-2016-11-19-16h29m18s742.png




vlcsnap-2016-11-19-16h29m11s097.png



vlcsnap-2016-11-19-16h30m30s224.png




vlcsnap-2016-11-19-16h29m02s480.png



vlcsnap-2016-11-19-16h24m41s170.png
 
Yupo location mzee amejipanga Ana company ya kushoot movie magar ya kutembelea Na nyumba nzuri anazo
 
imelda finyango finyango kumbe zimo ...[emoji39] majuto safi sana maisha ya kawaida yanatosha kwa alhaji kama yy
 
Hayati Muhdin Gurumo wa Msondo Aliimba Miaka 64 lakin kaja kumiliki ki Fancargo MWaka wake wa Mwisho hapa Duniani tena kwa kununuliwa na Diamond aliezaliwa 1988,

Maisha halisi ya Bongo ni tamthilia tosha ya kuvutia
.mmmmmh
 
Back
Top Bottom