Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Sio kweli mkuu,Ni Bongo tu ndio unayapata maajabu hayo,lakini nchi nyingi waigizaji ndio wenye mpunga wa kutisha kuliko wanamuziki.
Anaishi tanga - donge ukishukia mwembe kigutu unauliza Kwa majuto utafika Bila kupoteaSiyo kwamba yupo location kweli..?
Kwa ajili ya movie...
Siyo lazima ukiwa na jina basi ndio umemaliza kila kitu ni mungu tuu ndiye mpangaji wa yote kumbuka hiyo ndio comedian mkongwe mwanaharakati na alianza kuigiza kwenye jukwaa kabla ya TV au VIDEONi Bongo tu ndio unayapata maajabu hayo,lakini nchi nyingi waigizaji ndio wenye mpunga wa kutisha kuliko wanamuziki.
No way. Chunguza umarekani utaonaNi Bongo tu ndio unayapata maajabu hayo,lakini nchi nyingi waigizaji ndio wenye mpunga wa kutisha kuliko wanamuziki.
Huyu ndo mwanae wakwanza na mjuku wake
Umaarufu wote huo unaishi mahali pako hivyo kweli?
umepotea mnooHuyu ndo mwanae wakwanza na mjuku wake