Haya ndio maisha halisi anayoishi mzee Majuto

Haya ndio maisha halisi anayoishi mzee Majuto

Huyu mzee ana vituko sana nadhani hata kwenye maisha halisi ni vunja mbavu
 
Mzee majuto nakumbuka tanga alikuwa anafanya sanaa za vichekesho kwenye majukwaa ya shule za primary yeye pamoja na kistuli(kimende) llong wayback mwishoni mwa miaka ya tisini
 
Ni Bongo tu ndio unayapata maajabu hayo,lakini nchi nyingi waigizaji ndio wenye mpunga wa kutisha kuliko wanamuziki.
Sio kweli mkuu,
Dunia nzima wanamuziki ndiyo wenye hela zaidi kuliko waigizaji
 
Ni Bongo tu ndio unayapata maajabu hayo,lakini nchi nyingi waigizaji ndio wenye mpunga wa kutisha kuliko wanamuziki.
Siyo lazima ukiwa na jina basi ndio umemaliza kila kitu ni mungu tuu ndiye mpangaji wa yote kumbuka hiyo ndio comedian mkongwe mwanaharakati na alianza kuigiza kwenye jukwaa kabla ya TV au VIDEO
 
Umaarufu wote huo unaishi mahali pako hivyo kweli?
 
Umaarufu wote huo unaishi mahali pako hivyo kweli?

Nimesikita sana kuna siku alihojiwa na salama akamuomba raisi jk trekta yaani nliskia uchungu acha tu yeye kweli wa kuomba? Sanaa hailipi ama nini?
 
Back
Top Bottom