Haya ndio maisha halisi ya Darassa

Haya ndio maisha halisi ya Darassa

Kumbe kuna watu wamemjua Darasa baada ya Muziki ft Ben Pol,aiseee,kaaaz kwelikweli
Ni kama 20℅ watu wengi walimjua kwenye Tamaa mbaya wakati alikuwa ashafanya ngoma nyingi kali. Ila sema wasanii wengi wakifika 'climax' wanapata shida kumaintain status na mwisho wanaishia kufeli, Darasa ajitahidi kumaintain maana huu wimbo wa sasa ni mkubwa sana, akitoa wimbo mbovu tu tunamsahau maana watu sahivi wanamuangalia
 
Ndio maana niliwahi ku comment kuwa movements za Darasa zimekaa ki twenty per...na nikaonyesha wasiwasi kama hata Waandaaji wa show wataweza ku negotiate naye kufanya show ya gharama ya level aliyopo sasa.

Watu wana deal na wewe kwa namna vile wewe mwenyewe unavyojichukulia, ukitaka usela wataenda na wewe kisela....sidhani kama production ya hadhi hiyo wanaweza kuipeleka kwa Diamond, au Rayvanny.

Jamaa anahitaji management/ushauri ili afaidi hii nafasi aliyofikia sasa....ila akitaka iwe bora liende Mashabiki wataishia kupenda kazi zake na yeye atabaki kama alivyo....na tutaishia kumsema kama tunavyofanya sasa kwa kina Mr Nice, Twenty Per n.k.

Peak aliyoifikia kwa sasa ingeangukia kwa Mtu kama AY....naogopa hata ku imagine.
 
Hii intavyuu mbona imekaa ki -TBC, tbc..!

Haina mvuto, kamera haipo kwenye angle nzuri sauti inafifia na kurudi ilimradi liende..

Poor interview.!
Kweli mkuu yaan mwandishi kama uji hauna sukari
 
Jana nilikuwa mahali wimbo wake wa safari na muziki ulichezwa kwa wastani wa mara saba katika kila nyimbo kumi.

Akipoteza hii nafasi sijui jamii imsaidiaje tena.
 
Huyu mtangazaji ndio kanichekesha,hilo jicho analomkata client wake ni balaa, bongo live interview bado Sana'a kufikia viwango
 
Back
Top Bottom