mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Alitembelewa na huyo mwandishi hadi anapokaa
Huyu ndiyo nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitembelewa na huyo mwandishi hadi anapokaa
Shigongo product, unategemea nini?Hii intavyuu mbona imekaa ki -TBC, tbc..!
Haina mvuto, kamera haipo kwenye angle nzuri sauti inafifia na kurudi ilimradi liende..
Poor interview.!
Huyu jamaa angempata mtu kama sallam awe meneja wake angefika mbali mana akiendelea kufanya show za buku tano kumi hatafaidi matunda ya kazi zake
Darassa katoa ngoma nne mwaka huu zote hot halafu unasema nyimbo moja???! acha maneno weka mzikiSawa mungu ampe akili za kuona mbele Kama diamond kawimbo kamoja kasimpe kubweteka
Hiyo ghorofa amepanga tu!!game lilikuwa halijamkubali bado darassa..yaani akomae na single hii ya MUZIKI mpaka ahamie kwakeKama ni kwake yuko vizuri angalau, maana maisha ya wasanii wa bongo nao.