Ndio maana niliwahi ku comment kuwa movements za Darasa zimekaa ki twenty per...na nikaonyesha wasiwasi kama hata Waandaaji wa show wataweza ku negotiate naye kufanya show ya gharama ya level aliyopo sasa.
Watu wana deal na wewe kwa namna vile wewe mwenyewe unavyojichukulia, ukitaka usela wataenda na wewe kisela....sidhani kama production ya hadhi hiyo wanaweza kuipeleka kwa Diamond, au Rayvanny.
Jamaa anahitaji management/ushauri ili afaidi hii nafasi aliyofikia sasa....ila akitaka iwe bora liende Mashabiki wataishia kupenda kazi zake na yeye atabaki kama alivyo....na tutaishia kumsema kama tunavyofanya sasa kwa kina Mr Nice, Twenty Per n.k.
Peak aliyoifikia kwa sasa ingeangukia kwa Mtu kama AY....naogopa hata ku imagine.